下载
Mikabala Juu ya Mafunzo kwa Vi
分享
发布日期
1994
出版商
UN-Habitat

Mikabala Juu ya Mafunzo kwa Viongozi Waliochaguliwa (Kitabu 1)

Kama ambavyo imeonyeshwa na ukaguzi wa mahitaji ya mafunzo uliofanywa na Kituo cha Umoja wa Mataifa cha Makao ya Binadamu Habitat) mahitaji ya mafunzo ya maofisa wa serikali ambao wamechaguliwa (madiwani) au ya wanasiasa yanaonekana ya dharura sana kote ulimwenguni.

Wakati huo huo, mafunzo haya yanaonekana maeneo yenye kushugulikiwa kwa kiwango cha chini zaidi miongoni mwa yale yanayo jenga uwezo kwa minajili ya maendeleo ya mneneo maalum na usimamizi wa miji.