Themes
Series
Collections
Filter by year

Diwani kama msaidizi kitabu 5

Diwani kama msaidizi kitabu 5 1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars (No Ratings Yet)
Loading...

Overview

Kama ambavyo imeonyeshwa na ukaguzi wa mahitaji ya mafunzo uliofanywa na Kituo cha Umoja wa Mataifa cha Makao ya Binadamu Habitat) mahitaji ya mafunzo ya maofisa wa serikali ambao wamechaguliwa (madiwani) au ya wanasiasa yanaonekana ya dharura sana kote ulimwenguni. Wakati huo huo, mafunzo haya yanaonekana maeneo yenye kushugulikiwa kwa kiwango cha chini zaidi miongoni mwa yale yanayo jenga uwezo kwa minajili ya maendeleo ya mneneo maalum na usimamizi wa miji.

 

PUBLICATION DETAILS
Author:
Years: 1994
Publisher: UN-HABITAT
HS Number: HS/329/94K
No of Pages: 27
ISBN Series Number: 92-131242-6
ISBN: 92-1-131248-5

Diwani kama msaidizi kitabu 5

Diwani kama msaidizi kitabu 5 128.41 KB 410 downloads
Submit your review
1
2
3
4
5
Submit
     
Cancel

Create your own review

UN-Habitat
Average rating:  
 0 reviews